AJALI MBAYA YA GARI YATOKEA MUDA HUU MWANZA ISAMILO
MNDEME BLOG MTU mmoja mwana mama wa kiislam amefariki duniaa baada ya kuangukiwa na roli lililobeba kokoto katika matengenezo ya Barbara ya isamilo mjimwema. Mungu airehem roho ya marehem.