Posts

Showing posts with the label MNDEME BLOG DAWA YA UZAZI SIKU 30 TU

DAWA YA CHANGO LA UZAZI NDANI YA MWEZI MMOJA TU: MNDEME BLOG

Image
MNDEME BLOG MPATAKUVA , MZUNGWA  NA MFUMBASI una majina mengi sana kila kabila hapa nchini huliita wajuavyo wao kikubwa angalia picha twende pamoja. Mti huu ni miongoni mwa miti yenye sifa kubwa katika tiba, mgagani na jani la uzazi. Yote haya yanatumika katika afya hasa ya mama na mtoto. 1.      Kama una maumivu wakati wa hedhi au hedhi yako haipo sawa unazdsha au kupunguza siku tafuta mti huu chemsha kisha kunywa mara tatu kwa siku.  Wakati ukiwa period kunywa siku tatu mfululizo. 2.       Kama una tatizo la kuharibu mimba miezi mitatu miwil na ukaambiwa tumbo lako linaunguza mimba tumia mti huu chemsha tumia kuchambia na kunywa kwa siku tatu mara tatu kwa siku. 3.      Mtoto mwenye mchango mchemshie mpe kidogo anywe itatulia. 4.      Tumbo linauma tu bila sababu kunywa litapoa 5.      Hushiki mimba waweza chemsha kipindi unableed ukanywa siku tatu mara mbili kwa siku Chango la uzazi ni miongoni mwa magonjwa yanayoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke ambapo hu