DAWA YA CHANGO LA UZAZI NDANI YA MWEZI MMOJA TU: MNDEME BLOG
MPATAKUVA , MZUNGWA NA MFUMBASI una majina mengi sana kila kabila
hapa nchini huliita wajuavyo wao kikubwa angalia picha twende pamoja. Mti huu
ni miongoni mwa miti yenye sifa kubwa katika tiba, mgagani na jani la uzazi.
Yote haya yanatumika katika afya hasa ya mama na mtoto.
1.
Kama
una maumivu wakati wa hedhi au hedhi yako haipo sawa unazdsha au kupunguza siku
tafuta mti huu chemsha kisha kunywa mara tatu kwa siku. Wakati ukiwa period kunywa siku tatu
mfululizo.
2.
Kama una tatizo la kuharibu mimba miezi mitatu
miwil na ukaambiwa tumbo lako linaunguza mimba tumia mti huu chemsha tumia
kuchambia na kunywa kwa siku tatu mara tatu kwa siku.
3.
Mtoto
mwenye mchango mchemshie mpe kidogo anywe itatulia.
4.
Tumbo
linauma tu bila sababu kunywa litapoa
5.
Hushiki
mimba waweza chemsha kipindi unableed ukanywa siku tatu mara mbili kwa siku
Chango
la uzazi ni miongoni mwa magonjwa yanayoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke
ambapo humsababishia maumivu makali ya tumbo na kushindwa kupata ujauzito, au
mimba kuharibika kila zinapoingia.
Zipo
aina nyingi za chango ambazo zinaweza kujitokeza kila moja peke yake au
zikajikusanya na kujitokeza kwa pamoja, mkusanyiko huu ndiyo unaitwa Ovulation
Disorder (O.D).
CHANZO CHA TATIZO:
Mara
nyingi chango la uzazi huwa inatokana na vifuko vya mayai ya uzazi (ovaries)
kutokuwa na uwezo wa kuzalisha mayai na kufanya yakue kwa wakati muafaka.
Mwanamke mwenye matatizo haya hushindwa kuwa na siku za hatari za kunasa
ujauzito na kama zipo basi huwa hazina mpangilio unaoeleweka. Yawezekana
mwanamke mwenye tatizo hili akawa na uwezo wa kuzalisha mayai lakini yakashindwa
kukomaa au hata yakikomaa yakashindwa kusafiri kwenye mirija ya uzazi kwenda
kukutana na mbegu za uzazi za kiume kwa ajili ya kurutubishwa.
MAHITAJI:
MAJANI
YA MZUGWA/MVUGA.
MATAYARISHO
NA MATUMIZI YAKE:
Chukua
majani ya mvuga au mzungwa chemsha kwa dakika
10 acha yapoe kisha chuja. Mgonjwa anatakiwa kunywa nusu kikombe kutwa mara
3 kwa siku
5
hadi 7. Dawa hii ni nzuri sana kwa matatizo yote ya mfumo wa uzazi wa mwanamke,
Ni dawa ambayo imetumika kwa miongo mingi sana kutibu matatizo mbalimbali ya
wanawake. Imethibitika kuwa na uwezo wa:
(i.)
Kusafisha kizazi.
(ii.)
Kuzibua mirija ya uzazi
(iii.)
Inatibu kabisa matatizo ya chango la uzazi
(iv.)
Inapevusha haraka mayai hivo kupelekea mwanamke kuwahi kupata mimba.
(v.)
Inarekebisha mfumo wa homoni wa mwanamke
(vi.)
Inarekebisha mfumo wa hedhi na kutibia maumivu makali wakati wa hedhi.
MGANGE AU MGAGANI
DAWA YA KUSOGEZA KIZAZI KARIBU
Huu
unaitwa mgagani wengine watumia kama mboga ila hii pia ni dawa ya uzazi
husaidia kusogeza kizazi karibu pia ni tiba kwa wale wenye :-
UKE ULIOTANUKA husaidia kuweka katika hali yake ya kawaida kuwa katika
umbo dogo pia kuwa mtamu.
MATUMIZI
kuhusu
uzazi chukua majani yake mabichi fikicha kisha hakikisha yanatoa majimaji kisha
tafuta kitambaa laini weka huo mgagani kisha vaa kama PAD / PEDI ila tumia
umalizapo period / headhi.
KUBANA UKE chukua hayo majani kisha fikicha kisha weka huko kwa
bibi kaa nao kwa masaa matatu baada ya apo toa kila siku fanya ivo kwa muda wa
mwezi mmoja uke utakuwa kama wa mototo Mdogo. Imetumiwa na wengi kurudisha
bikira.
Hakika mti huu ni mti wa ajabu sana na niwenye manufaa mengi sana hasa kwa matabibu maalufu duniani.
DAWA
YA U T I SUGU NA CHANGE LA UZAZI MTI WA MKOROSHO NDANI YA TIBA ASILI
mti wa Mkorosho
unafaida nyingi Sana katika tiba za asili
Mti huu wa mkorosho una
madini mazuri ndio mti ambao unaweza kuunga mpigiri za miguu kwa wale
waliovujika miguu pia kwa wale mifupa yao haijaugika vizuri hospital
pia dawa mzuri sana kwa
wale wenye tatizo ya mifupa na nyongo nk
KAZI
ZINGINE ZA MTI WA MKOROSHO
1. Magome
yake tiba ya choo kigumu
chukuwa magome chemsha
kunywa nusu kikombe kila siku. 1 x 3: siku 7
2. Magome
yake tiba kisukari hushusha sukari kunywa nusu kikombe kila siku 1 x 3: siku 30
chemsha magome uwe
unakunywa kutwa mara mbili kwa siku 7 nenda kapime
3. Magome
yake tiba ya U T I sugu ya muda
mlefu tumia kuchemsha kunywa nusu
kikombe kila siku. 1 x 3: siku 7
4. Magome
yake tiba ya chango na ngiri maumivu chini kitovu hadi kwenye haja kubwa kuna
kuvuta tumia kuchemsha kunywa nusu kikombe kila siku. 1 x 3: siku 14
5. Magome
yake pia dawa meno yanauma sana Hadi fizi kuvimba na kutowa damu chukua magome
na Majani ya mpera changanya pamoja tumia kusukutilia mdomoni kutwa mara mbili.
Comments