Posts

MAGU KUNG'OLEWA, BUNGE KUANZA LEO NA MICHEZO YANGA KUCHUKUA UBINGWA SOMAZAID KUPITIA MNDEME BLOG

Image
Mndeme blog ndo kila kitu kwenye habari

BUNGE KUMALIZA UTATA RIPORT YA NAPE, MBOWE AFUNGUKA, ZITTO AGONGA MWAMBA MAGAZETI YA LEO SOMA ZAIDI KWA MNDEME BLOG

Image
Endelea kupitia na kusoma mndeme blog kila siku kwa habari za hivi punde.

DR. SLAA AJITATHIMINI KUREJEA BONGO LAND

Image
Habari za kisiasa:   Aliekua katibu mkuu wa CHA DE MA amesema anajitathimi kurejea nchini baada ya kuondoka nchini kwakile kilichomfanya aondoke, Dr slaa amesema upinzani usipojipango 2020 utatoweka kabisa. Maalim seif asema Lipumba hana uwezo wa kunivua ukatibu mkuu, Katibu mkuu wa CUF ameeleza kua Mwanyekiti anaetambuliwa na msajili wa vyama hanauwezo wa kumvua uenyekiti. Aidha ameeleza kua Lipumba anatumiwa ili kukivuruga chama hicho hivyo anawaomba wanachama kutosikiliza habari zozote na wanapaswa kutambua kua  CUF ipo imara. Michezo: Timu ya simba imelazwa na kagera baada ya kupokea kichapo cha goli mbili kwa moja (1-2) huko kagera kaitaba Endelea kutufuatilia ili kupata habari kem kem kupitia blog yetu huru yenye habari za uhakiaka pia sim no. 0652 530 530 ili kutangaza nasi

ZA HIVI PUNDE TOKA KAITABA MNYAMA KUTAFUNWA...... SIMBA IMECHEZEA KICHAPO ZAIDI SOMA HAPO................................

Image
Matokeo mpka sasa ni simba 0 kagera 1 endelea kufuatilia blog hii kwa kubonyeza link yetu

B R E A KING ... WAZIRI MKUU KASIM MAJILIWA KUTOA WITO..................

Image
Waziri mkuu Majaliwa amtaka mkuuu wa mkoa wa pwani kuwasaka wafugaji wanao wapiga wakulima. Waziri mkuu Mh. Majaliwa amemtaka mkuu wa mkoa wa pwani mh Ndiklo kwasaka wafugaji wanaodaiwa kuwapiga wakulima mkoani humo. aidha waziri huyo amemtaka ndikilo kuweka kambi katika kata ya Miono mkoani pwani ili kuwapata wafugaji hao wababe. Wito huo umekuja baada ya waziri mkuu kuzungumza na wakazi wa kata ya miono wilayani bagamoyo wakati akienda kukagua miundo mbinu ya hifadhi ya taifa  ya mkoani pwani. Endelea kufuatilia blog yetu ya mndeme kwa kupata habari kem kem, pia tutafute kupitia sim no.  +255 652 530 530.

TUNDU LISSU ASEMA AMENUSULIKA KUPIGWA NA WASIRA, MAGAZETI YA LEO JUMAPILI 02/04/2O17.

Image
          Endelea kuhabarika nasi kwakufuatilia blog yetu ya mndeme blog, matangazo kwa bei nafuu tutafute kupitia sim no.      +255 652 530 530.

MAGAZETI YA LEO ZITTO AKIWASHA TENA

Image