Posts

BREAKING NEWS..... MAHAKAMA YAKUBALI RUFAA YA KUPINGA HUKUMU YA SUGU NA MASONGA MBEYA.

Image
MNDEME BLOG Rufaa ya kupinga hukumu ya kifungo cha miezi mitano jela iliyotolewa kwa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga imewasilishwa Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya. Akizungumza leo Machi 1, 2018 mmoja wa mawakili wa Sugu, Faraji Mangula amesema  tayari maombi ya rufaa yao yamepokewjjjjjjjjja leo  mchana na kupewa kumbukumbu namba 29/2018. “Tayari rufaa yetu imeshapokewa Mahakama Kuu (Mbeya) na tunachosubiri  ni kupangiwa tarehe ya kuanza kusikiliza tu, ila tunachoshukuru watu wa Mahakama hii wapo vizuri kushughulikia suala hili,” amesema Mangula. Mbali na kukata rufaa hiyo, lakini pia mawakili hao wanakusudia kuomba dhamana kwa wateja wao  ili waweze kuwa nje katika kipindi ambacho wanakuwa wanasikiliza rufaa yao. Sugu na Masonga walihukumiwa baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli. Wawili hao walitoa kauli hiyo Desemba 30 mwaka jana kati

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017/18 HAYA HAPA

Image
MNDEME BLOG GUSA HAPA KUONA MATOKEO YA KIDATO CHA 4 MWAKA 2017/18         Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya kidato nne ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia saba. Jumla ya watahiniwa  385, 767 walisailiwa kufanya mtihani kidato cha nne mwaka 2017, kati yao 287,713 sawa na asilimia 77.09 ndio wamefaulu ambapo wasichana ni  143,728 sawa na asilimia 75.21 na wavulana 143,985 sawa na asilimia 79.06. Akitangaza matokeo hayo leo Januari 30, 2018 Katibu Mtendaji wa Necta,  Dk Charles Msonde amesema mwaka 2016 watahiniwa waliofaulu walikuwa 277,283 sawa na asilimia 70.09. Amesema matokeo ya watahiniwa 50 wa shule ambao walipata matatizo ya kiafya na kushindwa kufanya baadhi ya masomo ya mitihani hiyo, watapata fursa hiyo mwaka huu. "Watahiniwa 77 wa shule ambao walipata matatizo ya kiafya na kushindwa kufanya mtihani watapata fursa mwaka 2018," amesema Dk Msonde. Dk Msonde amesema watahiniwa 265 waliobainika kufanya udanganyifu katika mitihani 

DOWNLOAD NEW FANTASTIC SONG BY DAVIDO CALLED FLORA MY FLOWER HERE.

Image
MNDEME BLOG Download new song from Davido, Flora my flower. It's very fantastic song released by a Nigerian musician  Please Click download button bellow to get it. DOWNLOAD OUDIO

SUGU ALIVYOPANDISHWA KWENYEGARI BAADA YA KUHUKUMIWA KWENDA JELA TAZAMA LIVE MNDEME TV ONLINE

Image
MNDEME BLOG Gusa link hapo chini kuona live jinsi mpiganaji Sugu alivyopandishwa kwenye karandinga kuelekea gerezani baada ya kuhukumiwa jela miezi 5 leo    CLICK HERE TO WATCH LIVE MNDEME TV  ONLINE BREAKING NEWS

FOR HIGHER LOAN APPLICATION AND OTHERS PLEASE USE THIS BLOG IN ORDER TO BE DIRRECTED

Image
MNDEME BLOG Apply loan anfmg get all notifications through this blog. For anymore about loan board, please click on the blue capital latters bellow HESLB OLAS APPLY LOAN AND GET REGISTERED HERE.

SUGU AHUKUMIWA KIFONGO MIEZI MITANO JELA

Image
MNDEME BLOG Baada ya mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga kuhukumiwa kifungo cha miezi mitano jela, wakili wao Peter Kibatala amesema wanakusudia kukata rufaa. Sugu na Masonga wamehukumiwa adhabu hiyo leo Februari 26,2018 na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya, Michael Mteite. Wawili hao wamehukumiwa kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli, kosa walilotenda kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Desemba 30,2017 eneo la Uwanja wa Shule ya Msingi Mwenge jijini Mbeya. Kibatala amesema baadaye watatoa taarifa ya nini kinaendelea ila wanakusudia kukata rufaa. Baada ya hukumu kutolewa viongozi wa Chadema waliokuwepo mahakamani waliingia kwenye magari yao na kuelekea katika ofisi za chama hicho Kanda ya Nyanda za Juu Kusini. Wakati wa usomwaji wa hukumu hiyo, nje ya jengo la mahakama ulinzi uliimarishwa kukiwa na askari waliotanda hadi maeneo

BREAKING NEWS VODACOM WATOA OFFER YA KIFURUSHI CHA CHUO INGIA HAPA KUJAZA FORM BURE.

Image
MNDEME BLOG Unipromo Tanzania is the free Students Platform founded by  Udsm Vodacom Brand Ambassador on 27th November 2016 . Aimed at reducing paper work on Whitelist registration process. Valid University Students are identified and subscribed to University Bundles provided by Vodacom Tanzania such as  Vodacom Uni Offer  . The STUDENT OFFER MANAGEMENT SYSTEM (SOMS) manage basic information of students such as First name, Surname, Student Admission number, University or College name, Email Address and Mobile Number. What does soms do? SOMS allows Students to manage their management tasks online. Here is an example of what SOMS can help to do: Register free for offer online View their profile Update expired copy of id card Receive Notification when id is about to expire Appeal if his or her information already used by other student INSTRUCTIONS Instructions on how to apply for STUDENT OFFER MANAGEMENT SYSTEM (SOMS) Stage 1: Registration for uni