Posts

ONA MAPACHA WALIOUNGANA KAMA MARIA NA CONSO WANAVYOTEMBEA, MUNGU NI WAKUSHUKURIWA.

Image
MNDEME BLOG Hakika Mungu ni waajabu na kama wewe ukotofauti chukua angalau dk 1 kumshukuru. Tuwaombee watoto hawa. Ingia hapo chini kuona video CLICK HERE TO WATCH FULL VIDEO

DOWNLOAD JUX FIMBO

Image
MNDEME BLOG Hiyo hapo chini chombo ya jux iliyoyofanyiwa mautundu na DJ mndeme online click download chini DOWNLOAD MP3

DOWNLOAD OUDIO|TECNO UR LOVE

Image
MNDEME BLOG  Hatunaga ngoma mbovu,  tunaweka kali tu ! Hebu gusa download hapo chini kupakua ngoma Kali ya tecno your love. DOWNLOAD MP3 Usisahau kutuseach YouTube kwa jina la Yona mndeme ili kuona live vedeo Kali katika channel ya Mndeme tv.

EBABANAE DARASA ATOA MFULULIZO EBU DAWNLOAD HII MAJI MARAMOJA NYINGINE HAPA

Image
MNDEME BLOG Click download hapo chini kupakua ngoma Kali toka kwa darasa maji maramoja         DOWNLOAD MP3 Usisahau kushare blog hii kwa wengine ili waweze pata vitu vizuri au tutafute kwa sim no. 0652530530

KIMENUKA POLICE USO KWA USO NA MAJAMBAZI KUWAHI KUTOKEA MWANZA ANGALIA LIVE HAPA

Image
MNDEME BLOG Gusa maandishi mekundu hapochini angalia live ANGALIA LIVE HAPA

RAYVANNY FT JANSON DERULO MY LOVE. DOWNLOAD MP3

Image
MNDEME BLOG bonyeza download hapo chini DOWNLOAD MP3

JE MAANDAMANO YANARUHUSIWA KIKATIBA ? EBU SOMA ZAIDI UTAMBUE MAMBO YA MSINGI KUZINGATIA

Image
MNDEME BLOG Maandamano ya aina yoyote ni haki ya mwananchi na yanaruhusiwa kisheria lakini maandamano hayo lazima yafuate sheria na taratibu zilizobainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sheria ya maandamano inamtaka mwananchi au kundi la wananchi wanaohitaji kufanya maandamano kutoa taarifa kwa maandishi kwa Mkuu wa Polisi wa eneo husika kabla ya masaa 48 ya kuanza kwa maandamano hayo ikieleza dhumuni la maandamano hayo. Pia wahusika wanatakiwa wawe tayari kwa jibu lolote kutoka kwa mkuu huyo kwa kuwa chochote watakachojibiwa lazima kiwe na sababu. Endapo wahusika watakataliwa kufanya maandamano na hawatoridhishwa na sababu zilizotolewa na Mkuu wa Polisi kuna hatua mbili muhimu zinazotakiwa kufuatwa  na sio wahusika kujiamulia kuandamana kilazima kwa kuwa kufanya hivyo ni kosa. Hatua hizo muhimu zinazotakiwa kufuatwa ni kuandika barua kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na kumueleza kutoridhishwa na sababu zilizotolewa na Mkuu wa Polisi ili Wazi