DR. SLAA AJITATHIMINI KUREJEA BONGO LAND
Habari za kisiasa: Aliekua katibu mkuu wa CHA DE MA amesema anajitathimi kurejea nchini baada ya kuondoka nchini kwakile kilichomfanya aondoke, Dr slaa amesema upinzani usipojipango 2020 utatoweka kabisa. Maalim seif asema Lipumba hana uwezo wa kunivua ukatibu mkuu, Katibu mkuu wa CUF ameeleza kua Mwanyekiti anaetambuliwa na msajili wa vyama hanauwezo wa kumvua uenyekiti. Aidha ameeleza kua Lipumba anatumiwa ili kukivuruga chama hicho hivyo anawaomba wanachama kutosikiliza habari zozote na wanapaswa kutambua kua CUF ipo imara. Michezo: Timu ya simba imelazwa na kagera baada ya kupokea kichapo cha goli mbili kwa moja (1-2) huko kagera kaitaba Endelea kutufuatilia ili kupata habari kem kem kupitia blog yetu huru yenye habari za uhakiaka pia sim no. 0652 530 530 ili kutangaza nasi