B R E A KING N E W S..........CHADEMA WAPATA USHINDI

Mbunge wa jimbo la kilombero ameachiwa huru baada ya mahakama kuu Dar es salaam kumkuta hana hatia. Mbunge huyo alihukumiwa kifungo cha miezi sita na mahakama ya hakimu mkazi ya kilombero mkoani morogoro akituhumiwa kufanya vurugu wakati wa uchaguzi wa mwenyekiti wa almashaul ya kilombelo, nini maoni yako juu ya watoa hukumu ? Endelea kufuatilia habari moto moto kupitia blog yetu ya mndeme blog pia whatsapp us kwa +255 652 530 530.

Comments

Popular posts from this blog