Posts

ANGALIA LIVE YOUTUBE JINSI BACHELORS WALIVYOKABIDHIWA KOMBE NA WANAKWENDA KUFANYA KUFURU J TATU MOUNT MERU

Image
MNDEME BLOG Gusa link hiyo nyekundu kuingia youtube na kuona live mahojiano   https://youtu.be/Z_MwrGSHPqQ

USINGOJE KUHADITHIWA, SHUHUDIA LIVE YUTUBE JINSI GORI LA MWAKA LILILOFUNGWA NA EDO NA KUPELEKEA USHINDI KWA BACHELORS VS DIPLOMA LEO MOUNT MERU UNIVERSITY MWANZA.

Image
MNDEME BLOG Ingia kwenye link nyekundu ya YouTube kuona uhondo wote na jinsi gori la kupelekea ushindi lilivyopatikana. Kwa matangazo na mengineyo tunapatikana Mount meru university Mwanz au sim no 0652530530 Gusa link hiyo hapo chini.................. https://youtu.be/Z7FAhxDiwsk Huyo hapo chini ni team kepten na ndioamepelekea kupatikana kwa ushindi mnono. Usikose kutembelea mndeme blog kila siku add add link kwenye operamin..... http://mndemenews.blogspot.com. ili kuwa wakwanza kuona habari za uhakika. Pia usisahau kusubscribe channel yetu ya YouTube.

TAARIFA KAMILI YA JESHI LA POLICE MOROGORO KUHUSU KIFO CHA DIWANI WA CHADEMA KILOMBELO

Image
MNDEME BLOG Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limesema mauaji ya diwani wa kata ya Namwawala kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godfrey Luena huenda yametokana na ulipizaji kisasi wa mauaji ya mwaka 2016. Luena aliuawa juzi usiku baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake wilayani Kilombero. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei alisema jana kuwa watu wasiojulikana walizima umeme nyumbani kwake na kumvamia kwa mapanga na kwamba baada ya mauaji hayo hawakuchukua kitu chochote. “Marehemu amejenga pembezoni kidogo ya msitu," alisema Kamanda Matei. "Baada ya mauaji watu hao walikimbilia msituni". "Polisi wanaendelea na uchunguzi zaidi na kiini cha tukio hili Jeshi la Polisi linasema ni kisasi. Baada ya wauaji hawakuchukua kitu chochote.” Kamanda Matei alisema taarifa za awali zinahusisha kifo hicho na kile cha mkazi mwingine wa Namwawala, Keenan Haule, kilichohusishwa na ushahidi na mgogoro wa mashamba

FULL STORY KUHUSU SHAMBULIZI LA DIWANI WA CHADEMA KILOMBELO, Ingia kuona vedeo

Image
MNDEME BLOG https://youtu.be/kDE_oXONNT0

INASIKITISHA INGIA HAPA KISHA GUSA LINK HAPO CHINI KUONA VIDEO YA MAREHEMU AKWILINA MUDA MCHACHE KABLA YA KIFO CHAKE

Image
https://youtu.be/9kVdEAMzpjI

TAARIFA KAMILI KUHUSU KUPIGWA RISASI MWANAFUNZI WA ELIMU YA JUU ..............

Image
MNDEME BLOG Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) kimesema aliyepigwa risasi jana Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam na kufariki dunia ni mwanafunzi wa chuo hicho. Chuo hicho kimemtaja mwanafunzi huyo kuwa ni Akwilina Akwiline aliyekuwa anasoma shahada ya kwanza ya ununuzi na ugavi. Leo, Februari 17, 2018, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amekiri mtu mmoja kupigwa risasi na polisi wakati wakiwatawanya wafuasi wa Chadema walioandamana jana. Wafuasi hao wa Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe waliandamana kuelelea ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kinondoni, Aron Kagurumjuli kudai viapo vya mawakala wa chama hicho.  Aidha Ofisa Uhusiano wa NIT, Ngasekela David amesema wamepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha wanafunzi huyo. "Ni kweli alikuwa wanafunzi wetu na tumepokea kwa masikitiko taarifa hizi. Tunaendelea kufuatilia zaidi, "amesema David. Hatahivyo mwanafunzi

BASHE WA CCM AIUNGA MKONO CHADEMA KINONDONI...... Soma zaidi...

Image
MNDEME BLOG Mbunge wa Nzega (CCM), Hussein Bashe ameungana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kulaani tukio la kikatili lililomtokea Katibu wa CHADEMA Kata ya Hananasif, Daniel John siku za hivi karibuni. Bashe ametoa kauli hiyo katika jukwaa la CCM wakati akimuombea ridhaa mgombea wao Maulid Mtulia ili aweze kuwa muwakilishi wa Jimbo la Kinondoni katika siku zijazo endapo atapata kura nyingi za ndio siku ya kupiga kura ambapo mpaka sasa zimebakia takribani siku mbili. "Naviomba vyombo vya ulinzi na usalama, vifanye kila jitihada kufanya uchunguzi wa kina ili aliyefanya uhalifu huu aweze kupatikana. Kumekuwa na tabia kila uchaguzi mdogo unapofanyika matendo ya kihalifu hufanyika halafu wenzetu wa upande wa pili huamishia kesi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM)", amesema Bashe. Pamoja na hayo, Bashe ameendelea kwa kusema "jambo hili lililotokea Jimbo la Kinondoni ni kulaaniwa, sisi tunalilaani na nyie wananchi wa Kinondoni muendelee kul