Ajira mpya kwa walimu wa kiswahili somazaidi

MNDEME BLOG
Rais magufuli amepikea barua toka nchini rwanda ikimuomba kumpatia walimu wa kiswahili kutokana na nci hiyo kuamua kutumialugha ya kiswahili na kufundishwa shuleni. Magufuli amekubali wito huo na kuahidi atatekeleza hivyo vijana wenzangu mlioamua kuchukua kiswahili msihofie ajira sasa mambo muruhaaaa.............

Comments

Popular posts from this blog

JE MAANDAMANO YANARUHUSIWA KIKATIBA ? EBU SOMA ZAIDI UTAMBUE MAMBO YA MSINGI KUZINGATIA

MNDEME BLOG PAST PAPERS Form 4 FROM 2013-2020 N E C T A REVIEW Download

ABDUL NONDO AMKATAA HAKIMU