BREAKING NEWS NEY WAMITEGO MAISHA HATALINI

Rapper anaetamba kwa wimbo wa Wapo, amesema maisha yake yako hatarini baada ya kutishiwa na watu ambao hakutaka kuwataja. Aidha ameendeleza kwa kusema yeye haogopi chochote na hayuko tayari kupindisha ukweli hivyo watakacho panga kumfanyia na wamfanyie tu. Anasema hamna mlinzi zaidi ya Mungu. Ney wa mitego aliandika kupitia ukulasa wake wa twitter.


Comments

Popular posts from this blog

JE MAANDAMANO YANARUHUSIWA KIKATIBA ? EBU SOMA ZAIDI UTAMBUE MAMBO YA MSINGI KUZINGATIA

MNDEME BLOG PAST PAPERS Form 4 FROM 2013-2020 N E C T A REVIEW Download

ABDUL NONDO AMKATAA HAKIMU