NEY KUFANYA REMIX COLLABO NA MR PRESIDENT MAGU

MNDEME BLOG
Rapa ney anatarajia kuachia remix ya wimbo wake wa #Wapo ambao mh president amemwambia auongezee maneno na uwaguse watu wengi zaidi. Baada ya ney wa mitego kufungiwa wimbo wake na Basata, Rais aliamulu wimbo huo usifungiwe na kumwachia huru ney wa mitego. Hiv karibuni ney ameweka wazi juu ya remix wa wimbo huo ambao kwasasa unaufunika ule wa Darasa.

Comments

Popular posts from this blog

JE MAANDAMANO YANARUHUSIWA KIKATIBA ? EBU SOMA ZAIDI UTAMBUE MAMBO YA MSINGI KUZINGATIA

MNDEME BLOG PAST PAPERS Form 4 FROM 2013-2020 N E C T A REVIEW Download

ABDUL NONDO AMKATAA HAKIMU