MNDEME BLOG MPATAKUVA , MZUNGWA NA MFUMBASI una majina mengi sana kila kabila hapa nchini huliita wajuavyo wao kikubwa angalia picha twende pamoja. Mti huu ni miongoni mwa miti yenye sifa kubwa katika tiba, mgagani na jani la uzazi. Yote haya yanatumika katika afya hasa ya mama na mtoto. 1. Kama una maumivu wakati wa hedhi au hedhi yako haipo sawa unazdsha au kupunguza siku tafuta mti huu chemsha kisha kunywa mara tatu kwa siku. Wakati ukiwa period kunywa siku tatu mfululizo. 2. Kama una tatizo la kuharibu mimba miezi mitatu miwil na ukaambiwa tumbo lako linaunguza mimba tumia mti huu chemsha tumia kuchambia na kunywa kwa siku tatu mara tatu kwa siku. 3. Mtoto mwenye mchango mchemshie mpe kidogo anywe itatulia. 4. Tumbo linauma tu bila sababu kunywa litapoa 5. Hushiki mimba waweza chemsha kipindi unableed ukanywa siku tatu mara...
Sanaa na muziki: Msanii wa hip hop maalufu kwa Roma Mkatoriki amekamatwa na kupelekwa kusikojulikana akiwa studio za Tongwe records . Mapema ya leo Mbunge wa jimbo la Mikumi mkoani Morogoro ambaye pia ni msanii Prof Jay ameandika kupitia ukurasa wake wa facebook kua anahuzunika kwa taarifa zilizomfikia kua msanii mwenzake Roma amekamtwa na kupelekwa kusikojulikana. Dodoma : Spika wa bunge la tanzania mh Job ndugai ameagiza police kumkamata na kumfikasha bungeni mh Halima mdee kwakile alichokiita kutoa lugha mbaya wakati wa uchaguzi wa wakilishi wa bunge la Afrika mashariki, pia amemtaka kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mh Freeman Mbowe kufika katika kamati ya maadili ya bunge kwaajili ya kuhojiwa na kamati hiyo kutokana na kutoa lugha za matusi wakati wa uchaguzi wa bunge la Afrika mashariki. Nape : mbunge wa ...
Comments