MNDEME BLOG MPATAKUVA , MZUNGWA NA MFUMBASI una majina mengi sana kila kabila hapa nchini huliita wajuavyo wao kikubwa angalia picha twende pamoja. Mti huu ni miongoni mwa miti yenye sifa kubwa katika tiba, mgagani na jani la uzazi. Yote haya yanatumika katika afya hasa ya mama na mtoto. 1. Kama una maumivu wakati wa hedhi au hedhi yako haipo sawa unazdsha au kupunguza siku tafuta mti huu chemsha kisha kunywa mara tatu kwa siku. Wakati ukiwa period kunywa siku tatu mfululizo. 2. Kama una tatizo la kuharibu mimba miezi mitatu miwil na ukaambiwa tumbo lako linaunguza mimba tumia mti huu chemsha tumia kuchambia na kunywa kwa siku tatu mara tatu kwa siku. 3. Mtoto mwenye mchango mchemshie mpe kidogo anywe itatulia. 4. Tumbo linauma tu bila sababu kunywa litapoa 5. Hushiki mimba waweza chemsha kipindi unableed ukanywa siku tatu mara...
Gusa video hapo chini kuona kila kitu Kutana kijana maarufu kwa kudign mashati kwa bei nafuu, Isac anapatikana mwanza au sim no 0744187121. Kwa walioko nje ya mwanza watatumiwa kwa njia ya bus, usitume pesa kabla ya kupata mzigo wako. On a sample hapo chini
Comments