Marekani imerusha bom kubwa lenye uzito wa tan 11 kwenye ngome ya islamic state IS, bom hilo ambalo halijawahi kutokea ulimwenguni lilitestiwa kwamara ya kwanza kwa kulielekezea kwenye ngome ya islamic state huko nchini Afghanstan ambapo takribani wanamgambo 36 wameripotiwa kuuwawa. Bom hilo maarufu kwa jina la mama wa mabom lilirushwa kwa ndege maalum ya kijeshi ijulikanayo kam MC-130. Hii inakuja mara baada ya Rais wa marekani kutangaza vita dhidi ya wapiganaji wa kiislam. Endeleavkufuatilia habari kupitia mndeme blog.