MDEE AMJIBU GWAJIMA

Mbunge wa kawe Halima James Mdee amejibu kauli ya Askofu Gwajima iliyomtaka aombe radhi kwa kile alichokiita kumtorea lugha isiyo stahili Mh spika, Mdee amesema hayuko tayari kujibizana na askofu huyo kwakua anamuheshimu na swala la yeye na spika anajua jinsi ya kukabiliana nalo kwakua hajamtukana. Aidha Mh Mdee amesema kuhusu Gwajima kuitumia siku ya jumapili ijayo kumsambaratisha mdee ikiwa hatoomba msamaa anamuachia mwenyewe na kanisa lake.

Comments

Popular posts from this blog

JE MAANDAMANO YANARUHUSIWA KIKATIBA ? EBU SOMA ZAIDI UTAMBUE MAMBO YA MSINGI KUZINGATIA

DAWA YA CHANGO LA UZAZI NDANI YA MWEZI MMOJA TU: MNDEME BLOG

BREAKING NEWS MAHAKAMA YATOA HUKUMU KESI YA NABII TITO