Kigogo asema kufikia jumapil alietekwa kupatikana na... Kamanda #siro afunguka sakata la Kukamatwa kwa Roma...magazeti ya leo zaidi soma hapo chiniii..................

Kamanda wa police wa kanda maalumu ya Dar es salaam amesema wanazo taarifa za kukamatwa kwa mwana muziki wa hip hop maarufu kwa Roma mkatoriki na kwamba wamesha fungua jarada, vile vile ameongeza kwa kusema kua Kikosi chake kiko mtaani kwaajili ya upelelezi wa taarifa hiyo. Aidha amewatoa hofu wananchi kwamba wasiwe na wasiwasi.

Hussein bashe amefunguka kwa kuwaomba wana ccm kuondoa woga katika kupigania haki, Mbunge wa nzega amesema kitendo cha kukumatwa kwa msanii si swala la kupuuzia hivyo ccm wanapaswa kuwajibika na kutoa ushirikiano juu ya swala hilio. pia Nape nae amesikitishwa kwa kitendo hicho.







.

Comments

Popular posts from this blog

JE MAANDAMANO YANARUHUSIWA KIKATIBA ? EBU SOMA ZAIDI UTAMBUE MAMBO YA MSINGI KUZINGATIA

DAWA YA CHANGO LA UZAZI NDANI YA MWEZI MMOJA TU: MNDEME BLOG

BREAKING NEWS MAHAKAMA YATOA HUKUMU KESI YA NABII TITO