SERIKALI YAMUUNGA MKONO ASKOFU GWAJIMA

MNDEME BLOG
Askofu wa kanisa la Ufufuo na uzima Josephat Gwajima ameungwa mkono na serikali juu ya uamuzi wake wa kununua tren ya umeme huku wengine wakipewa wito kujitokeza. Uamuzi huo umekuja baada ya Gwajima kujitokeza na kuahidi kununua tren wakati akihubiri kanisani kwake na kutaja gharama ya tren hilo kuwa linaghalimu tsh 11bilion. Jackline moshi mkurugenzi wa uchukuzi amesema anakubaliana na wito huo huku akimtaka askofu huyo kupata kibali toka wizara ya ujenzi na uchukuzi.

Comments

Popular posts from this blog

MNDEME BLOG PAST PAPERS Form 4 FROM 2013-2020 N E C T A REVIEW Download

DAWA YA CHANGO LA UZAZI NDANI YA MWEZI MMOJA TU: MNDEME BLOG

BREAKING NEWS MAHAKAMA YATOA HUKUMU KESI YA NABII TITO