MTIHANI WA KIDATO CHA SITA WAVUJA SOMA ZAIDI

MNDEME BLOG
Kamanda wa jeshi la police kanda maalum ya Dar es salaam amethibitisha kutiwa mbaroni kwa walimu wawili na mwanafunzi mmoja was shule ya sekondari chang'ombe baada ya kukutwa na maswali ya vitendo/practical katika somo LA chemistry. Watuhumiwa bado wako chini ya ulinzi na wanafanyiwa mahojiano, tutaendelea kuwapa habari zaidi.

Comments

Popular posts from this blog

JE MAANDAMANO YANARUHUSIWA KIKATIBA ? EBU SOMA ZAIDI UTAMBUE MAMBO YA MSINGI KUZINGATIA

MNDEME BLOG PAST PAPERS Form 4 FROM 2013-2020 N E C T A REVIEW Download

ABDUL NONDO AMKATAA HAKIMU