MAJIBU YA BEN POL JUU YA PICHA ZAKE CHAFU

MNDEME BLOG
Hivi karibuni kumezuka mjadala mkubwa juu ya picha zinazoelekea kuwa za utupu zilizotupiwa na Ben pol kwa Instagram huku wadau wengi wakitokwa na povu zito kwakile wanachokidai ni dalili za ushoga. Ikumbukwe kuwa, Ben pol nimoja kati ya wasanii waliopata heshma kubwa baada ya kukataa kuvaa hereni na mambo mengine yanayofanywa na wasanii wengine lakini heshima hiyo imefutwa baada ya kupost picha hizo. Wadau wengine walicomment kwakudai labda anatafuta kiki kwa wimbo mpya atakaoutoa, Lakini Ben pol mwenyewe amefunguka tena na kusema usijudge kitabu usichokisoma. Ohoooo naanza kuelewa sasa, kumbe jamaa ameachia wimbo na Darasa unaokwenda kwa jina la usihukumu azilolijua. Asanteni.

Comments

Popular posts from this blog

MNDEME BLOG PAST PAPERS Form 4 FROM 2013-2020 N E C T A REVIEW Download

DAWA YA CHANGO LA UZAZI NDANI YA MWEZI MMOJA TU: MNDEME BLOG

BREAKING NEWS MAHAKAMA YATOA HUKUMU KESI YA NABII TITO