Breaking news, the house of mr president is burned..........................

MNDEME BLOG
Congo, nyumba ya rais wa jamuhuri ya kidemokrasia ya congo Joseph kabila imechomwa moto na wanaosadikika kuwa ni wahasi wa kikundi cha mai mai. Kwabahati nzuri rais hakuwepo kwenye nyumba hiyo ingiwa pia askari mmoja wa jeshi aliuwawa na waasi hao.  


Endelea kufuatilia mndeme blog toka mwanza tanzania. Call us +255652530530.


Comments

Popular posts from this blog

MNDEME BLOG PAST PAPERS Form 4 FROM 2013-2020 N E C T A REVIEW Download

DAWA YA CHANGO LA UZAZI NDANI YA MWEZI MMOJA TU: MNDEME BLOG

BREAKING NEWS MAHAKAMA YATOA HUKUMU KESI YA NABII TITO