MBUNGE WA IRINGA MJINI PETER MSIGWA KUCHOMEWA NYUMBA NA MAGARI

MNDEME BLOG
Mbunge wa iringa mjini kwa tiketi ya Chadema Mchungaji peter msigwa ameweka msimamo wake juu ya kuhamia chama cha mapinduzi ccm.  Akizungumza live,  msigwa amewataka wapiga kura wake kumchomea nyumba pamoja na magari iwapo atawasaliti na kuhamia ccm.  Peter msigwa amewaonya wanaomsumbuwa juu ya kuhamia ccm.  " Mkome mnaonipigia sim na kunipa vitisho juu ya kutohamia ccm. " 

Endelea kufuatilia mndeme blog kila siku,  pale usikiapo taarifa ya kusisimuwa na hujaipata vizuri basi ingia google andika mndeme news blog na ufungue linki kisha utaisoma taarifa kwa uzuri zaidi.  Toa maoni yako kwa 0652530530, kwa matangazo na mengineyo tunapatikana mount meru university mwanza. 

Comments

Popular posts from this blog

MNDEME BLOG PAST PAPERS Form 4 FROM 2013-2020 N E C T A REVIEW Download

DAWA YA CHANGO LA UZAZI NDANI YA MWEZI MMOJA TU: MNDEME BLOG

BREAKING NEWS MAHAKAMA YATOA HUKUMU KESI YA NABII TITO